KARIBU MKURANGA

Thursday, June 7, 2012

WANA MKURANDANGA NDIO KWETU WACHUKUA FOMU ZA KUOMBA UENYEKITI WA VIJANA WA CCM WILAYA YA MKURANGA

Hatimaye hayawi hayawi yanakuwa, Vijana wapambanaji na wasomi toka wilaya ya mkuranga wamechukua fomu za kuomba kupewa ridhaa na chama Cha Mapinduzi kuongoza jumuiya ya vijana ya Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Wilaya.

Kama ndoto na njozi zao (zetu) zikitimia jumuiya hiyo inaweza ongozwa na kijana msomi na kuweza kuleta chachu ya mabadiliko na hamasa kubwa katika jamii yetu.

Mpaka Blog ya Mkuranga Ndio Kwetu inakwenda mtamboni umethibitisha Ndg Nyimgeni Mohamed, Ndg Idd Majuto na Ndg Juma Nguvumali.


                                Nyimgeni Mohamed (Msomi wa Masoko ya Biashara)
                                                               
                          Juma Nguvumali (Msomi katika Uhandisi na Usanifu Majengo)


                                               Idd Majuto (Msomi wa kada ya sheria)
Allah afanye wepesi mmoja wao ashinde ili Jumuiya ya chama ipate Uhai na matumaini ya ukombozi wa kwetu yataongezeka

 Yeyote mwingine ambae amevuta fomu na hatujamtambua tujuzane waukae

No comments:

Post a Comment