KARIBU MKURANGA

Thursday, June 7, 2012

Mwana Mkuranga NDIO Kwetu Ramadhani Pepo Magimba Kuvuta Jiko.


Kambi ya Makapera ya vijana wazawa na wasomi wa wilaya ya Mkuranga ina karibia kudhohofika na kupata dhoruba kubwa baada ya kiongozi mpambanaji wa kambi hiyo kuamua kuachana na kambi hiyo hivi karibuni.

Waukae Ramadhani Magimba anataraji kuvuta jiko tarehe 15.06.2012 baada ya swalat Al- Jumaa katika Msikiti wa Kichangani (Magomeni)

                                 (Bwana Harusi mtarajiwa Ustaadh Ramadhani Pepo)

Allah amfanyie wepesi ndg yetu na waukae mwenzetu kufanikisha nusra yake, tunawapa pole makapera woote kwa pigo hili la kuondokewa na kiungo mkabaji kati kambi yenu

Bwana Magimba ni mudhuriaji mzuri wa Harusi za ndg, jamaa na rafiki  zake  pichani alikuwa katika sherehe ya harusi ya waukae Baraka Mwago





No comments:

Post a Comment