Tuesday, July 17, 2012
Thursday, June 28, 2012
MKURANGA KUTEMBELEWA NA TUME YA MAREKEBISHO YA KATIBA, WADAU TUJITOKEZE.
Tume ya Marekebisho ya katiba nchini iliyo chini ya M/kiti wa Jaji mstaafu na waziri mkuu mstaafu wa Tanzania Joseph Warioba watakuwa wilayani Mkuranga kwa siku 4 na vituo 8 tofauti kwa saa na tarehe zifuatazo:-
1. Mkuranga mjini 10/07/2012 kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 6:00 mchana
2. Vikindu tarehe 10/07/2012 kuanzia saa 8:00 mchana mpaka 11:00 jioni
3. Kisiju tarehe 11/07/2012 kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 6:00 mchana
4. Magawa 11/07/2012 kuanzia saa 8:00 mchana mpaka 11:00 jioni
5. Panzuo tarehe 12/07/2012 kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 6:00 mchana
6. Kimanzichana 12/07/2012 kuanzia saa 8:00 mchana mpaka 11:00 jioni
7. Shungubweni 13/07/2012 kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 6:00 mchana
8. Nyamato 13/07/2012 kuanzia saa 8:00 mchana mpaka 11:00 jioni
Shime shime wana Mkuranga hususani wenye mwamko mkubwa tujitokeze tukaseme na kutoa maoni yetu katika katiba mpya, tuseme tunadhani nini sahihi, nini kiwepo na nini kisiwepo.
Mkuranga itajengwa na wana mkuranga, tuwakilishe vyema wilaya yetu, wajumbe wakitoka kwetu wakiri kuwa kweli walikutana na watu makini na sio vilaza, wapate taswira halisi ya watu wa Mkuranga hususani kizazi chetu chenye mwamko na hamasa kubwa.
Wasalaam,
M/Kiti wenu
Friday, June 22, 2012
KIKAO CHA KESHO WADAU WA MKURANGA NDIO KWETU CHA HAIRISHWA
Assalam Alyekum,
Nawausia na kuisia nafsi yangu tuwe wacha mungu na Allah atufanyie wepesi tuwesze kupata fursa ya kusali Salat -Jumaa.
Nachukua fursa hii kuwajuza wadau wote wa maendeleo ya Mkuranga kupitia jukwaa hili letu la vijana wasomi toka Mkuranga kikao cha kesho tarehe 23/06/2012 kimeharishwa mpaka tutakapojuzana.
Sababu za kuhairisha
1. Wajumbe/wadau wachache pekee ndio waliothibitisha kuhudhuria
2. Kuwapa fursa ndg zetu ambao bado wanafanya mitihani vyuoni kumaliza kwa wepesi.
Kwa taarifa hii tunaomba kupokea maoni yenu ni wakati gani muafaka wa kikao hiki kifanyike? wapi? lini na saa ngapi?
Wabillah Tawfiq,
Baraka Mwago
Kaimu M/kiti wa jumuiya
Assalam Alyekum,
Nawausia na kuisia nafsi yangu tuwe wacha mungu na Allah atufanyie wepesi tuwesze kupata fursa ya kusali Salat -Jumaa.
Nachukua fursa hii kuwajuza wadau wote wa maendeleo ya Mkuranga kupitia jukwaa hili letu la vijana wasomi toka Mkuranga kikao cha kesho tarehe 23/06/2012 kimeharishwa mpaka tutakapojuzana.
Sababu za kuhairisha
1. Wajumbe/wadau wachache pekee ndio waliothibitisha kuhudhuria
2. Kuwapa fursa ndg zetu ambao bado wanafanya mitihani vyuoni kumaliza kwa wepesi.
Kwa taarifa hii tunaomba kupokea maoni yenu ni wakati gani muafaka wa kikao hiki kifanyike? wapi? lini na saa ngapi?
Wabillah Tawfiq,
Baraka Mwago
Kaimu M/kiti wa jumuiya
Sunday, June 10, 2012
WANA JUMUIYA YA MKURANGA NDIO KWETU WALIOCHUKUA FOMU WAREJESHA FOMU ZAO
Habari zilizopatikana na kudhibitishwa na wadau wenyewe ni kuwa ndugu, jamaa na rafiki zetu Ndg Nyimgeni Mohamed, Ndg Juma Nguvumali na Iddi Majuto wote wamerejesha fomu za kuomba ridhaa ya chama cha mapinduzi kuongoza jumuiya ya vijana ya chama hicho kupitia ngazi ya wilaya.
Kila la kheri kina waukae, mkuranga inawahitaji leo kuliko wakati mwingine wowote, rai yangu kwenu kwa wale ambao kura hazitatosha msikate tamaa bado mnaweza kupata fursa ya kuwatumikia wana Mkuranga kwa nyanja zingine na kwa fursa nyingine.
Wassallam,
Baraka Mwago,
Kaimu M/kiti
Mkuranga Ndio Kwetu
KENYA YAPATA MSIBA WA WAZIRI WA USALAMA WA NDANI
Abiria wote sita, wakiwemo marubani wawili na walinzi wa mawaziri hao waliokuwa kwenye helikopta hiyo wamefariki dunia na miili yao kuteketezwa kwa kiasi cha kutoweza kutambulika.
Kilichosababisha ajali hiyo bado hakijabainika.
Bwana Saitoti na maafisa wengine wa juu katika wizara ya usalama wa ndani walikuwa wakielekea katika eneo la Sotik kwa mkutano wa usalama. Saitoti alikuwa miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini Kenya waliokuwa wakipania kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao.
Walioshuhudia ajali hiyo wamesema waliona helikota hiyo ikizunguka angani kabla ya kuanguka katika msitu wa Ngong.
Polisi wamezingira eneo la ajali hiyo na kamishna wa polisi Mathew Iteere aliyepo katika eneo la ajali anatarajiwa kutoa taarifa kamili kuhusiana na ajali hiyo.
Ajali hiyo ya helikopta imetokea katika siku ambapo Kenya inaadhimisha miaka minne tangu kutokea ajali ya ndege iliyowauwa mawaziri wengine wa serikali, Kipkalya Kones na Lorna Laboso.
Miili ya marehemu imeungua vibaya na moto hivyo utambuzi wa miili hiyo utakuwa mgumu.Mkuu wa polisi aelekea eneo la tukio.Chanzo cha ajali hiyo mbaya bado hakijajulikana.Tetesi zimeshaanza kuhusisha ajali hii na kikundi cha ugaidi cha Al Shabab cha nchini Somalia pamoja na mbio za urais nchini Kenya.RI.P marehemu wote.
You might also like:
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO YAPATA PIGO, MZEE MAKANI AFARIKI DUNIA
BOB MAKNI KADA NA MUASISI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA AFARIKI. BOB MAKANI ALIKUA MWENYEKITI WA CHADEMA KABLA YA MBOWE. PIA BOB MAKANI ALISHAKUWA MSAIDIZI WA GAVANA BENKI KUU YA TANZANIA. MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI.
HISTORIA
YAKE CDM-Katibu Makuu wa kwanza wa CHADEMA kati ya mwaka 1993 hadi
1998, Mwenyekiti wa CHADEMA kuanzia mwaka 1998 hadi 2004 na mgombea
ubunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini kati ya mwaka 1995.
Saturday, June 9, 2012
TUIFAHAMU MKURANGA YETU VYEMA
Mkuranga is one of the 6 districts of the Pwani Region of Tanzania. It is bordered to the north by Dar es Salaam, to the east by the Indian Ocean, to the south by the Rufiji District, and to the east by the Kisarawe District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Mkuranga District was 187,428.
The
people of Mkuranga primarily belong to four ethnic groups — the Zaramo,
Ndengereko, Matumbi and Makonde. Most people live in poor and simple houses
thatched by grass or coconut leaves, poles, and mud walls on earth floors. Fuel
wood is the major source of energy for cooking. The Mkuranga District has two
government health centers, fifteen government and ten private dispensaries.
Traditional health care systems that operate in the district include
traditional healers.
1. Population and
Household Size in Mkuranga Ward
|
Type
|
Population (Number)
|
Household
|
||||
Male
|
Female
|
Total
|
Number
|
Average Size
|
|||
Mkuranga
|
Mixed
|
12,741
|
13,810
|
26,551
|
6,083
|
4.4
|
|
Tambani
|
Rural
|
7,302
|
7,438
|
14,740
|
3,578
|
4.1
|
|
Vikindu
|
Mixed
|
10,938
|
11,134
|
22,072
|
5,322
|
4.1
|
|
Mbezi
|
Rural
|
4,249
|
4,403
|
8,652
|
2,040
|
4.2
|
|
Shungubweni
|
Rural
|
1,367
|
1,381
|
2,748
|
590
|
4.7
|
|
Kisiju
|
Rural
|
6,935
|
6,897
|
13,832
|
3,138
|
4.4
|
|
Magawa
|
Rural
|
3,988
|
4,069
|
8,057
|
1,967
|
4.1
|
|
Kitomondo
|
Rural
|
5,710
|
6,095
|
11,805
|
2,695
|
4.4
|
|
Lukanga
|
Rural
|
6,184
|
6,473
|
12,657
|
2,768
|
4.6
|
|
Nyamato
|
Rural
|
6,013
|
6,186
|
12,199
|
2,652
|
4.6
|
|
Kimanzichana
|
Mixed
|
8,037
|
8,927
|
16,964
|
3,698
|
4.6
|
|
Mkamba
|
Mixed
|
7,076
|
7,444
|
14,520
|
3,050
|
4.8
|
|
Panzuo
|
Rural
|
2,980
|
2,647
|
5,627
|
1,343
|
4.2
|
|
Bupu
|
Rural
|
2,866
|
2,691
|
5,557
|
1,346
|
4.1
|
|
Mwalusembe
|
Mixed
|
5,328
|
6,119
|
11,447
|
2,667
|
4.3
|
|
District Total
|
91,714
|
95,714
|
187,428
|
42,937
|
4.4
|
Subscribe to:
Posts (Atom)